Vidonda vya tumbo ni ugonjwa ambao huathili mfumo wa mmeng’enyo wa
chakula ambayo husababishwa na bacteria waitwao Helicobater pylori ambao
hushamburia ukuta wa tumbo au utumbo mwembamba
NINI HUSABABISHA VIDONDA VYA TUMBO
- Bacteria(helicobater pylori)
- matumizi ya mara kwa mara ya dawa za maumivu
- kuvuta sigara
- unyaji wa pombe kwa muda mrefu
- msongo wa mawazo
DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
- kiungulia
- tumbo kujaa gesi
- kichefuchefu
- kukosa nguvu
- kinyesi chenye damu
- kushidwa kupumua vizur
MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO
- kanisa ya tumbo
- kutapika damu
- kuvuja damu kwa kuta za tumbo
- upungufu wa damu
JINSI YA KUJIKINGA NA VIDONDA VYA TUMBO
- punguza au acha pombe
- Tenga muda mzuri wa kupumzika
- punguza kiwango cha halemu (cholesterol)
- kunywa maji mengi kila siku
Kwa tiba na ushauri wasiliana nasi kwa namba 0745436198 usiteseke tena