BLOGS

KISUKARI


Nov 16 , 2023

511

Kisukari ni ugonjwa ambao hutokana na mtu kuwa na sukari nyingi kwenye damu kupita kiasi, hutokea pale ambapo tezi ya kongosho inapo shidwa kutengeneza kichocheo (homoni) aina ya Insulini ambayo kazi yake ni kuondoa Glucose katika damu na kuingia katika misuri ambayo hutumika kama nishati

SABABU ZINAZO PELEKEA MTU KUUMWA KISUKARI

  • Kongosho kushidwa kutengeneza insulini ya kutosha
  • Unene kupita kiasi
  • Ongezeko la sukari kwenye damu
  • Shinikizo la damu
  • msongo wa mawazo
  • Matumizi makubwa ya pombe na sigara
  • Wenye history ya kuwa nawagonjwa wa kisukari kwenye familia

DALILI ZA MTU MWENYE KISUKARI

  • kunywa maji mengi kuliko kawaida
  • kwenda haja ndogo mara kwa mara
  • Kutoona vizur
  • wanawake kuwashwa ukeni
  • kusikia njaa kila wakati na kula sana
  • kupungua uzito au kukonda licha ya kula vizuri
  • vidonda au majeraha sehemu ya mwili kutopona haraka
  • kukaukwa na ngozi na pia kupata aina ya ganzi katika ngozi
  • miguu kuoza na hata kupata gangirini
  • Ganzi na kuchomwa chomwa
  • kupungua nguvu za kiume au hamu ya kujamiiana kwa wanawake
  • Majipu mwilini

MADHARA YA KISUKARI

  • Upofu
  • maradhi ya figo
  • Vidonda kuto pona upesi na hatari ya kukatwa miguu au vidole
  • Kufa ganzi na kupotea hisia za mikononi au miguu
  • Kiharusi

Kwa maelezo zaidi au ushauri wasiliana na Dr.Ellen kwa kupiga 0745436198

Kumbuka tunatoa huduma za virutubisho lishe bora kabisa visivyo na kemikali


Tiba zake

Click the images for a full view with our Lightbox feature