Watu wengi hudhani ni hali ya kawaida kupata choo kigumu au kutopata
choo kabisa watu wengine siku nzima, siku mbili hadi siku tatu bila
kupata choo! Au wengine kupata choo kigumu. *USIPUUZIE HILO NI TATIZO
KUBWA SANA.
MADHARA YA KUTOPATA CHOO AU KUPATA CHOO KIGUMU NI KAMA:
BAWASILI
(haemorrhoids) kuota kinyama sehemu ya haja kubwa, hii ni kutokana na
kutanuka kwa mishipa midogo midogo ya damu kutokana na kutumika kwa
nguvu nyingi wakati wa kijisaidia pia hupelekea maumivu makali kwenye
njia ya haja kubwa.
KUPASUKA
kwa layer ya ndani ya njia ya haja kubwa (anal fissue)* na kusababisha
maumivu makali sana ni kutokana na matumizi ya nguvu nyingi wakati wa
kujisaidia
HUSABABISHA
MAGONJWA YA TUMBO* kuuma bila sababu, tumbo kuunguruma hii ni kutokana
na kinyesi kukaa muda mrefu tumboni bila kutolewa (choo kinachotembea).
Hili husababisha magonjwa mengi yanayotokana na bakteria.
ENDAPO utakaa na tatizo hili kwa muda mrefu hupelekea kupata ya tumbo kama vile:-
Kansa ya utumbo mpana
kuwa na kitambi kinachosababishwa na constipation
muda mwingine husababisha vidonda vya tumbo kutokana na gesi inayojitengeneza tumboni.
Maumivu ya mgongo UTI n.k
Kama unasumbuliwa na tatizo hili au vinginevyo tupigie au tuma ujumbe whatsapp kwa namba kwa ushauri na tiba
+255744 12 5275