1.Upungufu wa damu mwilini
2.Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
3.kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
4.kupungukiwa nguvu za kiume
5.kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
6.Kupata tatizo la kisaikolojia
7.Kutopata ujauzito
8. Mimba kuharibika
10. Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)
11. Mwili kudhoofika
NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI
1.Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi
2.kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
3.Acha kufanya mapenzi kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
4.Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.
5.Acha kunywa pombe
6.Punguza kula nyama nyekundu
7.Punguza matumizi ya pili pili.
8.Jitibie vidonda vya tumbo
9. Jitibie Ngiri
10. Dhibiti uzito wako
11. Jiepushe/punguza kunyanyua vitu vizito mara kwa marafiki.
ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO
Kwanza,
Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wa naamini kwamba matibabu ni dawa pekee na jambo hili limepelekea wengi kuteseka na matatzo kwa muda mrefu sana bila mafanikio na kupelekea kukata tamaa ya kutafuta tiba na badala yake humuona kila mtoa huduma ni tapeli
Zifuatazo ni sababu zinazowafanya wagonjwa wengi kuteseka na Bawasiri kwa muda mrefu licha ya kutumia dawa mbali mbali:
1.Kutopata dawa sahihi
-Si kila dawa inayotangazwa kutibu Bawasiri inaweza kutibu Bawasiri bali dawa yenye ufanisi wa kutibu ndio inaweza kutibu Bawasiri.
2.Kutofuata ushaur wa daktari.
-Usipofuata yale ambayo daktari anakuelekeza ili kupata suluhisho la Tatizo lako ni ngumu kupona tatzo lako.
3.Kutoziacha sababu zilizopelekea upate Bawasiri. Katika hili wengi wamefeli kwani haiwezekani ukapona Bawasiri ikiwa sababu zilizopelekea upate Bawasiri hutaki kuziacha mfano;
-Pombe
-Uzito mkubwa
-Ulaji mbovu
-Kuingiliwa kinyume
-Kula sana pilipili
-Kukaa sana chini
-Kunyanyua vitu vizito
-Kutotibu Magonjwa kama Ngiri na Vidonda vya TUMBO
-Kutokula vyakula vya kulainisha choo kama vile Mboga za majani & matunda
-Kula udongo(wajawazito)
-Kujisaidia kwenye vyoo vya kukaa
+255744 12 5275